About me
3 Likes
5 Subscribers
Tanzania, United Republic of
Member since 04 Mar, 2024
Wahenga wanasema , ukitaka kufika haraka , nenda mwenyewe , ila ukitaka kufika mbali..twende pamoja.
Tumetengeneza Application ya CLUBZILA ili kukutanisha na wataalamu na wadau wote wa masoko ya hisa na uwekezaji , kwa lengo la kukuwezesha kujifunza , kupata taarifa sahihi na kwa wakati kuhusu fursa za uwekezaji katika masoko ya fedha (HISA , BONDS, MIFUKO YA UWEKEZAJI kama UTT nk ).
Nakukaribisha kuungana na familia ya zaidi ya watu 10,000 (elfu kumi) wanaotumia applikesherni ya clubzila .