STORY @STORY
MTIKISIKO WA HIRIZI
SEHEMU YA 3
“N’na maana kuwa Shaka hakutoroka. Aliruhusiwa kuondoka!”
“Aliruhusiwa? Aliruhusiwa na nani?”
“Hilo ni jambo lingine. Lakini mimi binafsi hainiingii akilini kuwa Shaka alitoroka. Atatoroka vipi chini ya ulinzi, akiwa ni mtu mwenye rekodi mbaya sana anayepaswa kuchungwa kama mtu yeyote anavyoichunga mboni ya jicho lake?”
Inspekta Banda aliguna.
“Unasikia afande,” Kessy aliendelea. “Shaka alihukumiwa jela akiwa ni mtu hatari, jambazi sugu ambaye vyombo vyote vya dola vinamtambua. Pale Keko wanamjua vizuri Shaka. Walimpokea wakiwa wanamjua vizuri. Kwa vyovyote, walipaswa kumchunga vilivyo.”
“Lakini nadhani hujaisahau ripoti ya kutoweka kwake pale gerezani,” Banda alisema. “Shaka aliondoka katika mazingira ya kutatanisha…”
“Kutatanisha vipi afande wakati inasemekana kuwa yule askari aliyekuwa na kundi la wafungwa alibaki ameduwaa tu wakati Shaka akiondoka taratibu?” Kessy alikuwa king’ang’anizi.
“Kwa hiyo unataka kusema kwamba kulikuwa na njama za kumtorosha?”
“Ndivyo picha inavyojionyesha.”
“Ok, lakini hilo silo jambo linalotuhusu kwa sasa,” Banda alisema. “Twende kwanza Magomeni. Ni huko tutakapopata la kufanya.”
Walipofika Magomeni na kuwahoji Mado na Temba wakapata picha ya matumaini. Wakatoka.
“Anaweza kuwa yeye?” Kessy alimuuliza Banda wakati akiondoka hapo kituoni.
“Ndiye,” sauti ya Inspekta Banda ilikuwa kavu. “Niliepuka kusema hivyo mbele ya wale vijana ili kuepusha usumbufu ambao wangetupa. Kwa vyovyote wangetaka kujua watazipataje milioni zao kumi.”
Kicheko kikamtoka Kessy. Akauliza, “ Wana ndoto za milioni kumi kabla hata mtuhumiwa hajapatikana?”
Inspekta Banda hakujibu.
SHAKA alitambua fika kuwa alipaswa kuwa makini dhidi ya askari, hivyo alipoingia ndani ya treni, alikwenda moja kwa moja kwenye behewa la vinywaji na vyakula. Huko aliketi na kuagiza chupa ya maji lita moja. Akatulia kitini akinywa taratibu.
Hadi treni ilipofika kituo cha Saranda hali ilikuwa shwari. Kituoni hapo akashuka na kuagiza kuku na viazi mbatata kisha akarudi behewani. Akiwa na miwani yake mieusi usoni, miwani ambayo hakuwa tayari kuitoa bila ya sababu muhimu, huku kofia ikiwa imeganda kichwani pake, Shaka alianza kukifakamia chakula hicho kwa pupa na baada ya dakika chache tu zoezi hilo likawa limehitimishwa.
Akaingiza mkono mfukoni na kutoa noti zilizokuwamo. Alipozihesabu, akafarijika. Zilikuwa ni pesa za kumtosha kiasi. Kwa kiwango hicho hakuiona sababu ya kumfanya ashindwe kunywa bia mbili, tatu katika kuiliwaza akili yake kama alivyoamini. Saa moja baadaye koo likawa limeshateremsha bia mbili. Akaongeza ya tatu.
Hadi treni ilipokuwa inaingia Tabora, bia tano zilikuwa zimeshatua tumboni mwake na kuichangamsha akili yake. Naam, kwa kiasi fulani alijihisi kuwa timamu kisaikolojia huku pia akijali kuwa makini katika maongezi na mtu yeyote.
Kwa jumla hakutaka kuzoeana na yeyote kwa kiwango kikubwa, na hilo alilifanya kwa kuwa hakumwamini yeyote kwa kipindi hicho.
Aliendelea kukaa humo katika behewa la vinywaji na maakuli hadi saa 7 usiku. Na wakati huduma ilipositishwa na wateja kutakiwa kuondoka, yeye alimwita mmoja wa wahudumu wa behewa hilo na kunong’ona naye pembeni. Muda mfupi baadaye kijana huyo alikuwa na shilingi 5,000 kibindoni.
“Us’konde mwanangu,” Shaka aliambiwa. “Pumzika humu hadi kunakucha. Na kama unataka bia unaweza kuendelea kuagiza.”
Alichohitaji Shaka siyo kuendelea kukaa humo ili anywe bia, hapana. Shida yake ilikuwa ni kupata nafasi ya kulaza mbavu hadi kunakucha. Kama angekuwa na pesa za kutakata asingesita kuonana na TT na kumpa nauli ya chumba cha daraja la kwanza. Baada ya hapo angemtafuta ‘mrembo’, kati ya ‘warembo’ wengi wanaozagaa-zagaa ndani ya mabehewa, na ‘mrembo’ huyo angeifanya safari kuwa fupi kuliko ilivyo.
ASUBUHI ya siku iliyofuata treni iliingia Kigoma mjini. Na kama alivyokuwa makini safarini, hata pale stesheni Shaka hakupachukulia kwa uzito wa kawaida. Alijua fika kuwa askari nchi nzima watakuwa na taarifa kuhusu yeye, hivyo watakuwa wakimsaka kama gaidi au haini.
Hadhari ikapewa kipaumbele. Akatulia behewani akiwaacha wenye haraka zao wateremke, yeye akawa miongoni mwa wachache wa mwisho. Na alipoteremka alikwenda moja kwa moja kukodi teksi moja kati ya nyingi zilizokuwa zimefurika mbele ya jengo la kituo hicho........
click here to unlock the post

Shuka nayo kwa kulipia Tsh1000 tu
click here to unlock the post

STORY @STORY
MTIKISIKO WA HIRIZI
SEHEMU YA 2
Kwa hesabu ya muuzaji, hata kama angeuza mavazi hayo kwa shilingi 12,000 bado angekuwa na faida. Isitoshe, hakuwa ameuza hata nguo moja katika nguo hizo tangu alipozileta kiasi cha mwezi mmoja uliopita. Hivyo, hakuwa na sababu ya kukataa.
“Leta pesa.”
Muda mfupi baadaye Shaka alikuwa katika mwonekano tofauti. Alitumia chini ya dakika mbili kuvaa zile nguo za uraiani juu ya mavazi ya jela huku yule muuzaji akiwa amepigwa butwaa.
Bado Shaka hakuwa amehitimisha kilichomleta humo. Akaendelea kuangaza huku na kule. Macho yakagota sehemu ambayo kulitundikwa visu vya aina mbalimbali na vya ukubwa uliotofautiana.
“Kile kisu bei gani?”
“Alfu mbili na mia tano.”
“Nipe.”
Kisu kikatua mfukoni mwake. Akatoka hapo kwa mwendo wake uleule, mwendo wa taratibu na wa kujiamini. Na sasa hakutaka kuchelewa katika eneo hilo, alikodi teksi iliyomfikisha Magomeni Kondoa ambako alipata chumba katika gesti moja isiyokuwa na hadhi.
Mara tu alipokwishaingia chumbani na kujifungia, alizivua zile sare za jela na kuzifutika chini ya kitanda. Akabaki na zile nguo mpya pekee. Kisha akatoka na kwenda dukani ambako alinunua lita moja ya mafuta ya taa na kurejea pale gesti.
“Nionyeshe sehemu ya kuweza kuchomea makabrasha nisiyoyahitaji,” alimwambia mhudumu wa gesti.
Mhudumu huyo, akiwa hajui hili wala lile, alimwonesha sehemu kulikokuwa na shimo dogo lililotumika kwa kutupia taka. Shaka aliporudi chumbani alizitwaa zile nguo za jela, zilizokuwa ndani ya fuko la nailoni, akatokanazo hadi huko shimoni ambako alizimwagia mafuta na kuzitia moto.
Alirudi chumbani mwake baada ya kuhakikisha kuwa zile nguo zote za jela zimeteketea.
ASKARI jela aliyesimamia kundi la wafungwa waliopaswa kwenda Viwanja vya Maonesho, aliendelea kuduwaa huku akimtazama Shaka aliyekuwa akiyoyoma taratibu machoni pake. Huenda alipaswa kuchukua hatua pale tu Shaka alipokaidi amri ya kuingia garini, lakini hakufanya hivyo. Na alipokuja kuzinduka, Shaka alikuwa ameshatokomea machoni pake.
Akakurupuka kupuliza filimbi. Eneo hilo lote likazingirwa na askari, na wengine wakamwagwa mitaani kumsaka mfungwa aliyetoroka katika mazingira ya kutatanisha.
Pamoja na msaada wa raia wema waliowaonesha njia alizopita mtu aliyekuwa amevaa nguo zilizoshabihiana kwa kila kitu na sare za wafungwa wa jela, na pamoja na mwanamke muuza duka kuthibitisha kufikiwa na mteja aliyevaa sare za jela na kuongeza kuwa mteja huyo alinunua nguo mpya na kuzivalia humohumo dukani, juu ya mavazi ya jela, bado haukuwa msaada ulioweza kutoa matunda mema.
Shaka hakuonekana, japo msako mkali uliendelea takriban kitongoji chote cha Keko.
Naam, kilikuwa ni kizungumkuti cha aina yake!
AKITAMBUA fika kuwa lazima msako mkali dhidi yake ungefanyika, Shaka hakutoka nje ya gesti hiyo siku nzima. Njaa ilipomsakama alimtuma chipsi mhudumu wa gesti. Koo lilipomkauka aliagiza bia. Kwa jumla alihakikisha hafanyi kosa atakalolijutia baadaye. Japo aliamini kuwa kwa ‘nguvu’ za baba yake, Mzee Songoro, asingepatwa na baya lolote, hata hivyo aliamua kuwa makini.
Usiku ulipoingia alihitaji faraja ya mwanamke. Ndiyo, usiku kucha awe na mwanamke mrembo, mwanamke anayeyajua majukumu yake pale anapokumbana na mwanamume mwenye njaa ya mwanamke.
Bia tano zilizosambaa katika mishipa yake ya damu zilimpa mhemuko kiasi cha kuamua kuzungumza kiutu uzima na mhudumu mmoja wa kike wa gesti hiyo, mazungumzo yaliyoanzia kwa ‘gia’ ndogo tu, bia mbili, chipsi-kuku na shilingi 10,000.
Usiku huo ukawa wao. Wakakesha wakizungumza kwa furaha, wakanywa kwa kujidai na wakaikanda miili yao kwa fahari, wakifanya kila walichopenda kukifanya, na wakafanya kwa namna ya kipekee kiasi cha kujikuta kukipambazuka huku kila mmoja bado akimhitaji mwenzie.
Hata hivyo, Shaka hakuwa limbukeni wa mapenzi. Kwa siku hii, zikiwa ni saa zisizozidi ishirini na nne tangu alipotoroka gerezani, aliamua kuwa makini zaidi na kuzitumia fedha zake chache alizonazo kwa uangalifu ili awe na uhakika wa kuliacha jiji hilo na aweze kufika mwisho wa safari yake.
Akiwa bado kitandani, mkono wake mmoja ukilipapasa paja la Rukia, alikuwa akiwaza hili na lile kuhusu ratiba yake ya siku hiyo huku pia akifikiria ni hatua gani ambayo askari watakuwa wameichukua baada ya kutoroka gerezani jana katika mazingira ya kutatanisha.
Aliamini kuwa kwa vyovyote vile nguvu ya msako dhidi yake itakuwa kubwa na ikiambatana na hasira kali kutoka kwa hao askari. Kwa kiasi fulani itachukuliwa kuwa amelidhalilisha Jeshi la Magereza.
Itakuwa ni habari kubwa kwa vyombo mbalimbali vya habari hususan vile vyenye sera ya kuishambulia serikali kwa dosari yoyote itakayojitokeza katika taasisi zake. Itakuwa ni kashfa kwa Jeshi la Magereza. Kwa hali hiyo alipaswa kuwa makini zaidi katika muda atakaokuwa jijini Dar es Salaam.
Alipaswa kuchukua tahadhari kubwa!
Ni Rukia aliyemwingilia katika fikra zake. “Vipi, mpenzi, na jioni tutakuwa wote?” alimuuliza.

SEHEMU YA (1)
siyo kwamba kila mwanadamu anaamini kuwa ili utatue tatizo lolote linalokukabili lazima uwe na elimu ya kiwango kikubwa, uwe mjanja wa mjini au mcha mungu utegemeaye maombezi kwa kufanikisha mambo yako. wapo ambao hawapo katika makundi yote hayo. wao huamini zaidi katika kile kinachoitwa ‘nguvu za giza.’ katika riwaya hii utashuhudia mambo yanayofanyika chini ya jua, yakiwastaajabisha wale wenye akili za kawaida na kuwasisimua wenye mioyo ya kijasiri. anza kutiririka…
MWAKA 2002
Mvua ya rasharasha iliyoanza kunyesha tangu asubuhi mjini Kigoma, iliendelea hata usiku ulipotinga. Na hakukuwa na dalili ya kukatika au kuongezeka. Hilo halikuwa jambo la ajabu kwa kipindi hicho cha masika mvua kunyesha kwa zaidi ya saa 10. Lilikuwa ni jambo la kawaida.
Usiku huo, Mzee Songoro alikuwa nyumbani kwake, itongoji cha Mwanga, Mtaa wa Mabatini akisubiri mlo wa usiku uliokuwa ukiandaliwa na mkewe. Alikuwa ameketi sebuleni akitazama televisheni huku pia akisubiri taarifa ya habari.
Ilipotimu saa 2.00 kituo fulani cha televisheni kikaanza kutangaza taarifa ya habari, muhtasari ukiwa utangulizi wa habari yenyewe. Kwanza Mzee Songoro alishtuka, kisha akashangaa. Hakuyaamini masikio wala macho yake. Akatega masikio kwa makini na kukikodolea macho makali kioo cha televisheni.
Kisha habari kamili ikaanza:
Jambazi Sugu, Aliyetuhumiwa Kwa Makosa Mbalimbali Yakiwamo Ya Ubakaji, Wizi Wa Kutumia Silaha Na Mauaji, Shaka Songoro, Leo Amehukumiwa Kifungo Cha Maisha Baada Ya Mahakama Kuridhika Na Maelezo Ya Upande Wa Mashtaka, Maelezo Yaliyoambatana Na Ushahidi Mzito Uliomtia Hatiani Mshtakiwa…
Ilikuwa ni habari ndefu iliyoambatana na picha ya mtuhumiwa huyo. Na ikawa ni habari iliyomshtua na kumsononesha Mzee Songoro kwa kiasi kikubwa. Hakuendelea kuitazama televisheni hiyo wala kutega masikio kusikiliza habari nyingine.
Alinyanyuka na kuvuta hatua mbili akielekea jikoni, lakini mara akasita. Akarudi sofani na kujipweteka pwaa!
Akashusha pumzi ndefu. Kisha akaita kwa sauti kali: “Mama Shaka! Mama Shaka weee!”
Ilikuwa ni sauti iliyoyafikia masikio ya mkewe kwa usahihi, ikamshtua na kumshangaza.

BABU MKUNAJI
Mambo zenu, natumai mu wazima wote. Binafsi niko poa, ingawa hapa nilipo kuna joto la kufa mtu.
Leo nimeamua kuwahadithia kidogo kuhusu kipindi nikiwa binti mdogo, stori ambayo nimekaa nayo kwa muda wa miaka mitano. Kwa jina naitwa Janeth na nina miaka 20. Miaka mitano iliyopita, kulikuja babu kuishi nyumbani kwa kina Mwajuma. Huyu mzee ni babu yake Mwajuma upande wa mama. Alikuja kuishi nao hapo kwa sababu umri ulikuwa umeshaenda, hivyo familia hiyo ikaona njia rahisi ya kumsaidia ni kuishi naye hapo hapo nyumbani kwao.

SABABU ZA MWANAMKE KUMFUNGA MWANAUME KWA MIGUU YAKE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI.
Basi twende tukajue ukweli na uwa ni sababu zipi ufanya wanawake kufanya kitendo hicho.
Mapenzi ni sehemu muhimu ya maisha ya wanandoa, na wakati mwingine huwa na vitendo vinavyoongeza furaha na ukaribu. Moja ya vitendo hivyo ni wakati mwanamke anatumia miguu yake yote miwili kumfunga mwanaume kwa nyuma kupitia kiuno chake wakati wa tendo la ndoa. Hii inaweza kutokea katika nafasi kama missionary au nyinginezo ambapo mwanamke anafunga miguu ili kumshikilia mwanaume karibu zaidi. Vitendo hivi sio tu vya kawaida bali vina sababu za kisaikolojia, kimwili na kihemko. Katika makala hii, tutachunguza sababu kuu za kitendo hiki ni:-