

STORY @STORY
SABABU ZA MWANAMKE KUMFUNGA MWANAUME KWA MIGUU YAKE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI.
Basi twende tukajue ukweli na uwa ni sababu zipi ufanya wanawake kufanya kitendo hicho.
Mapenzi ni sehemu muhimu ya maisha ya wanandoa, na wakati mwingine huwa na vitendo vinavyoongeza furaha na ukaribu. Moja ya vitendo hivyo ni wakati mwanamke anatumia miguu yake yote miwili kumfunga mwanaume kwa nyuma kupitia kiuno chake wakati wa tendo la ndoa. Hii inaweza kutokea katika nafasi kama missionary au nyinginezo ambapo mwanamke anafunga miguu ili kumshikilia mwanaume karibu zaidi. Vitendo hivi sio tu vya kawaida bali vina sababu za kisaikolojia, kimwili na kihemko. Katika makala hii, tutachunguza sababu kuu za kitendo hiki ni:-
click here to unlock the post

STORY @STORY
MONICA
Sehemu Ya Tano (5)
James alibaki pale akiwa na wasiwasi mwingi maana hakujua nini kitafuata baada ya Julieth kufika nyumbani kwao.
Tayari mama yake Julieth alikuwa amemtafuta na alionekana kuwa na hofu kwa kutomkuta bintiye kituoni, ilhali alijua kuwa mwanae alikuwa na James.
Bila shaka hofu ya mama yake Julieth kuhusu uhusiano wao ilikuwa imeongezeka. "Mama yake akimuona katika hali hii, lazima atajua mimi ndiye nimehusika. Sijui nini kitafuata," James aliwaza. Akili yake ikamwambia kuwa pale hapakuwa mahali salama tena, maana Julieth angeweza kumleta mama yake kama angebanwa vizuri.
Akaondoka haraka kuelekea nyumbani kwa kaka yake, ambapo hawakuwa wakipajua. Kwa namna moja au nyingine, James alikuwa akijutia maamuzi yake. Tamaa zake zilimweka katika mazingira mabaya sana, wakati ndiyo kwanza alikuwa anajaribu kuonja maisha mazuri baada ya muda mwingi wa maisha yake kuutumia shule na shamba kule kijijini.
"James, naomba leo usiende kazini Lazima mama atakuja kukutafuta maana jana alinitaka kumleta kwako nikadanganya sipajui." Ulikuwa ni ujumbe ambao James alikutana nao kwenye simu yake asubuhi alipoamka, ujumbe huu ukitoka kwa Julieth. Ujumbe ule ulimshtua James, na moja kwa moja akajua kuwa mambo yalikuwa yameharibika.
click here to unlock the post

STORY @STORY
MONICA
Sehemu Ya Nne (4)
Wakati James akifikiria nini ajibu, simu yake iliita na mpigaji alikuwa ni mama yake Julieth. "Halo mama?" aliita James baada ya kupokea simu ile.
"Julieth amesema leo hamsomei nyumbani, kuna nini?" alihoji mama Julieth baada ya salamu.
"Leo kuna wenzake ambao nawafundisha huku wanafanya kajaribio kidogo, nilitaka na yeye ashiriki ili aweze kujipima," alidanganya James.
"Sawa, kuwa makini na uhakikishe anawahi kurudi nyumbani," alisema mama yake Julieth ambaye aliridhika, kisha akakata simu.
Mule ofisini, James alionekana amechanganyikiwa sana, hakujua afanye nini. Hata Sir Mdharuba ambaye alikuwa amefuatilia mazungumzo yake kimyakimya, alikuwa amepata picha ya nini kilikuwa kinaendelea na aliweza kuona kuwa James alikuwa amechanganyikiwa. Sir Mdharuba akafungua droo yake na kutoa kitabu kidogo, kisha akamkabidhi James ambaye alikipokea. "Njia 21 Za Kudeal Na Wanawake Wa Aina Tatu" ndivyo jina la kitabu kile lilivyosomeka. "Huo ni uandishi wa Nira Saire, huwa hakosei huyo bwana," alisema Mdharuba na kumuacha James apitishe macho kwenye kitabu kile.
click here to unlock the post

STORY @STORY
MONICA
Sehemu Ya Tatu (3)
Pale ndani, James alishaanza kuchanganyikiwa. Maneno ya mama Julieth yalionesha wazi kuwa alikuwa na mashaka juu ya kile kinachoendelea ndani, hasa baada ya kuona mlango umefungwa. “Tuko busy!” Julieth alijibu kwa sauti ya juu. “Njooni basi angalau mpate chakula kwanza, muda umeenda,” alisema mama Julieth, jambo lililosababisha James kuangalia saa yake na kugundua ilikuwa saa mbili na nusu usiku. “Tunamalizia,” alijibu Julieth, na mama yake akaondoka. “Inabidi niondoke, tutawaudhi wazazi sasa,” James alisema huku akisimama. Julieth naye akasimama na kumpiga busu zito mdomoni, kisha akatangulia kufungua mlango James akimfuata nyuma.
click here to unlock the post

STORY @STORY
MONICA
Sehemu Ya Pili (2)
James alipata mshtuko kidogo kuona sasa wameingia upande wa masharti. Alijikaza na kuanza kuandaa ujumbe wenye lengo la kutaka kujuzwa hayo masharti ili aone kama atayamudu ama la. Hata hivyo, kabla hajamaliza kuandika ujumbe ule, aliona mlango wake ambao hakuwa ameufunga kwa ndani ukifunguliwa na shemeji yake, Monica, akaingia. Sura ya Monica ilikuwa imetawaliwa na tabasamu, tofauti na ambavyo James alitegemea, kwani dakika chache zilizopita alimpita pale sebuleni bila hata tone la uchangamfu.
click here to unlock the post

STORY @STORY
UTAMA WA MADAM "J"
Tazama offocial video ya simulizi ya "UTAMU WA MADAM J"
click here to unlock the post

STORY @STORY
SHEMEJI HAPANA
SEHEMU YA 11
Endelea...
Nasir aliona haitoshi, alianza kuyapigapiga makalio yangu pasipo kujali kwamba nilikuwa naongea na simu muda huo. Ilibidi nikate haraka ili dada asisikie kelele za makalio yangu.
"Una matatizo gani Nasir? Hujui nilikuwa naongea na simu hapa?!" nilimuuliza kwa hasira.
click here to unlock the post

STORY @STORY

STORY @STORY
